Trela La Tanzania Lasababisha Msongamano Ferry
Hali ya msongamano inazidi kushugudiwa katika kivuko cha likoni ferry asubui ya Leo ya tarehe 28 mwezi wa pili mwaka wa elfu mbili ishirini na nne baada ya trela lililokuwa likivuka kuelekea Tanzania kutoka Mombasa kushindwa kuukwea mlima huo. Licha ya ferry nne leo kuwa kwenye zamu ya kuvusha egesho hilo ambalo ferry ya MV […]