loader
March 17, 2025

BREAKING NEWS: Prof. Kithure Kindiki Sworn in as the New Deputy President at KICC, Nairobi.

Sydney 29

Warning: Undefined array key "menu_align" in /home/alshifa1/public_html/wp-content/plugins/iqonic-extensions/includes/Elementor/Elements/Navigation/render.php on line 36

Klabu ya crystal palace inapanga kumuendea Eddie nketiah katika dirisha la Januari ili kumsajili.

Klabu ya Everton inapania kumsajili mshambulizi wa Marseille na timu ya taifa ya Senegal illman ndiaye.

Miamba wa soka real Madrid na Manchester city wanapigana vikumbo ili kuinasa saini ya kiungo wa girona Miguel Gutierrez

Manchester United huenda wakamsajili David alaba kutoka real Madrid msimu ujao.

Borussia Dortmund na Manchester United watafanya mazungumzo kuhusu kubadilishana wachezaji donyell malen aliyeichezea arsenal vijana wasiozidi miaka 23 pamoja jadon Sancho ambaye ameekwa sokoni na man utd.

Barcelona imemtaja Bruno guimares kutoka Newcastle kama kiungo nambari moja watakaye muendea katika dirisha la uhamisho.

Kiungo wa spurs Pierre – Emile hojbjerg analengwa zaidi na juventus huku pia miamba hao wa italia wakihusihswa na kalvin Philips kutoka Manchester city.

Arsenal na Manchester city zimeonyesha nia ya kumsajili kiungo wa Kati wa Aston villa Douglas luiz licha ya uhamisho WA mchezaji huyo kuwa mgumu kutokana na aston villa kusemekana kutaka pauni milioni 100.

Mwaandishi : Joseph Lewa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *