TAASISI YA SMART APPLICATIONS INTERNATIONAL YAZINDUA HUDUMA ZA AFYA ZA KITEKNOLOJIA NCHINI.
. Taasisi ya Smart Applications International imezindua mbinu mpya ya Kimatibabu ya Kidijitali hapa jijini Mombasa ambapo, teknolojia hiyo, itawezesha wagonjwa kupata huduma za Kidijitali. Akizungumza hapa jijini mombasa, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bwana Harrison Muiru ameeleza kuwa wameshirikisha hospitali zaidi ya Mia Tatu katika Ukanda wa Pwani,huku akisema kuwa Teknolojia hiyo itarahisisha pakubwa […]