Uhamisho 18 Disemba 2023

Klabu ya crystal palace inapanga kumuendea Eddie nketiah katika dirisha la Januari ili kumsajili. Klabu ya Everton inapania kumsajili mshambulizi wa Marseille na timu ya taifa ya Senegal illman ndiaye. Miamba wa soka real Madrid na Manchester city wanapigana vikumbo ili kuinasa saini ya kiungo wa girona Miguel Gutierrez Manchester United huenda wakamsajili David alaba […]

Uhamisho Wa Wachezaji Ijumaa Tarehe 15 Disemba 2023

AFC Leopards wanapanga kuivamia Kakamega Homeboyz na kuwasajili wachezaji watatu, ambao ni Moses Shumah, Brian Eshihanda, na Faruk Shikalo katika dirisha la usajili la katikati mwa msimu,Kwa jumla, Ingwe wanatarajiwa kusajili makipa wawili, mabeki wa kati watano, mabeki wawili wa kulia, mawinga wawili, kiungo wa kati na washambuliaji wawili kwenye dirisha hilo. Wachezaji wengine ambao […]

NAIROBI- Eight Arrested in USD 439 Trillion Mega Fraud.

DCI’s Operations Support Unit detectives have nabbed eight suspects in a USD 439 Trillion mega fraud targeting two foreign businessmen from Netherlands. In the ongoing operation at a warehouse located in Nairobi, several boxes stashed with fake US dollars, suspected stolen jungle fatigues for APS officers, military boots, customs reflector jackets among other recoveries have […]

Rising Starlets yarejeaa kutoka Cameroon.

Warembo wa timu ya taifa ya Rising starlets walirejea nyumbani siku ya Jumatatu 13, Novemba 2023 kutoka Cameroon. Starlets walichabangwa na wenyeji Cameroon kwa mabao 3-0. Rising starlets waliondoka Nchini wiki iliyopita kuelekea Cameroon kwa mchuano wa mkondo wa kwanza wa mechi za kufuzu katika kombe la Dunia la wanawake wasiozidi Umri wa miaka 20. […]

TAASISI YA SMART APPLICATIONS INTERNATIONAL YAZINDUA HUDUMA ZA AFYA ZA KITEKNOLOJIA NCHINI.

. Taasisi ya Smart Applications International imezindua mbinu mpya ya Kimatibabu ya Kidijitali hapa jijini Mombasa ambapo, teknolojia hiyo, itawezesha wagonjwa kupata huduma za Kidijitali. Akizungumza hapa jijini mombasa, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bwana Harrison Muiru ameeleza kuwa wameshirikisha hospitali zaidi ya Mia Tatu katika Ukanda wa Pwani,huku akisema kuwa Teknolojia hiyo itarahisisha pakubwa […]

mabingwa wa ‘Over 40’ Football tournament Mombasa

Kipute cha – Over ‘40’ Football Tournament Mombasa ambacho kilitamatika jana kwa nyasi kuumia katika uga wa Serani kilivutia wadogo kwa wakubwa huku timu ya Wazee Health wakitwaa ubingwa wa ngarambe hiyo dhidi ya Ziwani Old Guard kwa mikwaju ya penati. [4 – 2] Ni michuano iliochukua kipindi cha miezi miwili ikishirikisha timu 12 kutoka […]

BREAKING NEWS: Lady suspected to have murdered Nairobi Hospital Acting Finance Director Eric Maigo has been arrested in Kibera.

The prime suspect in the murder of slain Nairobi Hospital Finance Director Eric Maigo, has been arrested. The suspect who detectives have established is a juvenile aged 16, was arrested at Olympic village in the sprawling Kibera slums last night, after sleuths received information regarding her whereabouts from members of the public. Immediately after her […]

Optimized by Optimole